Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah
12
Kitabu hiki kinazungumzia masomo katika umuhimu wa Tawhiid kimezungumzia Walaa na Balaa na uislam ndio dini ya nabii Ibrahim Niwajibu kwa Mwanadamu amuabudu Mwenyezi Mungu peke yake jambo kubwa alilo amrisha Mwenyezi Mungu waja wake ni Tawhiidi na Nini maana ya Tawhiidi